Posts

Showing posts from November, 2023

USIKOSE KUFUATILIA UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO

Image
 

IET NOV 30 KUANZA KONGAMANO

Na Mwandishi wetu, Dar  Taasisi ya Wahandisi Tanzania (IET) inatarajia kufanya kongamano kubwa la 32 ambapo mgeni rasmi anatarajiwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa .  Aidha, IET inawakaribisha wahandisi na wadau wote wa sekta mbalimbali za uchumi nchini kwenda kushiriki kwenye kongamano hilo muhimu ambalo litahudhuriwa na washiriki zaid ya 1000. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam, Rais wa Taasisi hiyo, Eng Mgema Mudo amesema kuwa, kongamano hilo litafanyika tareh 30 mwezi wa 11 hadi tarehe 2 mwezi wa 12 mwaka 2023 katika ukumbi wa kimataifa Arusha (AICC) jijini Arusha . Aidha amesema kuwa, miongoni mwa watu watakaoshiriki ni mafundi, wahandisi, wanafunzi na wadau wengine kutoka mikoa mbalimbali nchini na nje ya nchi watashiriki kongamano hilo muhimu ambapo wengine watashiriki kwa njia ya mitandao. Aidha, amesema kuwa miongoni mwa mada zitajazojadiliwa ni pamoja na kutoa elimu ya ubunifu na zinalenga kuhimiza na kuchochea ari ya k

USIKOSE KUFUATILIA UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO

Image