BETIKA YAJA KIVINGINE


Na Mwandishi wetu, HPMedia, Dar es Salaam 

Kampuni ya michezo ya kubashiri (BETIKA) leo imezindua kampeni ya Mtoko wa Kibingwa kwa shill 500 huku ikiahidi kutoa zawadi nono kwa washindi watakao shinda kupitia tovuti  www.betika.co.tz au unaweza kupiga menyu *149*16#.

Kauli hiyo imetolewa leo na Meneja wa Kampunk hiyo, Tumaini Maligana wakati akizindua kampeni hiyo ambapo amesema msimu huu wa 5 imekuja kivingine kwa kutoa zawadi kwa dau la shill 5 kwa washindi wake.

Amesema kuwa, kampeni hiyo inasherekea Derby ya 3 kwa ukubwa barani Afrika Simba Vs Yanga hivyo imekuwa ikiwaleta wateja wake kutoka Mikoa mbalimbali ikiwemo Kigoma,Sumbawanga,Kagera kutazama mechi uwanja wa Taifa na kuhudumiwa na KI VIP.



"Kuanzia msimu wa kwanza hadi wa nne Kampeni ya Mtoko wa kibingwa imekuwa na washindi 400 ambapo washindi wote waliletwa Dar es salaam kwa ndege kwenda na kurudi huku wakipatiwa simu za kisasa jezi hivyo Watanzania ni rahisi sana ubashiri wako uwe beti 5 yaani mikeka miatani yenye dau la TSH 500 na kuendelea kila mkeka usikose bahati yako "amesema  Tumaini

Hata hivyo, amesema mshiriki anayetaka kushinda anatakiwa kubashiri ligi mbalimbali ikiwemo EPL,LaLiga,Bundesliga,na ligi za kibongo zikiwemo mechi ya Simba na Yanga. 

"Tutakuwa na droo 10 za washindi kila wiki zitafanyika Moja kwa Moja kupitia vyombo vya habari nchini kote huku washindi wakitangazwa kila wiki hivyo hata washindi walioko Dar es salaam watapelekwa Uwanjani kwa msafara wa King'ola.

Kwa upande wake Afisa Mahusiano na Umma wa Kampuni ya Betika  Juvenalius Rugambwa amesema amesema haina Mbamba Kampeni ya Mtoko wa kibingwa ndroo ya kwanza itafanyika Februari 13 mwaka huu na washindi zaidi ya kumi watatangazwa kwani tunahitaji mabingwa 100 hivyo suka mikeka yako 5 kwa Tsh 500 .

"Hiii ni Derby Kubwa ya kihistoria na hao mabingwa tutawapatia malazi mazuri kwa kuwalaza hoteli ya nyota tano sisi Mtoko huu hauna Mbamba tumejipanga sana itakuwa siku ya kipekee kwa washindi  inanza Leo na tutahitimisha Aprili 16 Mwaka huu

Comments

Popular posts from this blog

MALYA ACHUKUA FOMU YA UDIWANI VITI MAALUM

MAKAMO WA RAIS SMAUJATA ATIA NIA UBUNGE KIVULE

NLD YAZINDUA KAMPENI "FYEKA CCM", YATOA WITO HUU KWA TAMISEMI