MALYA ACHUKUA FOMU YA UDIWANI VITI MAALUM
Katibu wa Shina na mwanachama wa Jumuiya ya Wanawake wa CCM,( UWT) Kigezi chini Kata ya Buyuni, Happyness Malya amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Udiwani wa Viti Maalumu Halmashauri ya Jiji la Dar es Salaam.
Amekabidhiwa fomu hiyo leo June 30,2025 na Katibu Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) Wilaya ya Ilala Rosemary Mwakisalu Ofisini kwake Ilala
Comments
Post a Comment