MWINJUMA AUTAKA UBUNGE KIVULE
Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa Kipunguni Mwinjuma Abdul Seke amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge Jimbo la Kivule.
Seke amekabidhiwa fomu hiyo leo June 30,2025 na Katibu wa Chama cha Mapinduzi CCM Wilaya ya Ilala Sylvester Yaredi.
Aidha Seke amesema endapo atapata ridhaa ya kugombea katika Jimbo hilo atahakiksha anaunga mkono jitihada za Rais Dkt Samia Suluh Hassan za kuwaletea Maendeleo.
Comments
Post a Comment