DKT. BITEKO AWASILI ARUSHA KUSHIRIKI MAZISHI YA WAZIRI MKUU MSTAAFU, HAYATI EDWARD NGOYAI LOWASSA

 


Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt.Doto Biteko amewasili mkoani Arusha kwa ajili ya kuhudhuria mazishi ya Waziri Mkuu Mstaafu, Hayati Edward Ngoyai Lowassa yanayotarajiwa kufanyika wilayani Monduli mkoani Arusha tarehe 17 Februari 2024.

Katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA), Dkt. Biteko alipokelewa na viongozi mbalimbali wa Serikali na Chama cha Mapinduzi (CCM)  wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu.

Comments

Popular posts from this blog

MALYA ACHUKUA FOMU YA UDIWANI VITI MAALUM

MAKAMO WA RAIS SMAUJATA ATIA NIA UBUNGE KIVULE

NLD YAZINDUA KAMPENI "FYEKA CCM", YATOA WITO HUU KWA TAMISEMI