CDE. ABDI APOKELEWA PEMBA



Naibu Katibu Mkuu UVCCM Zanzibar, Cde. Abdi Mahmoud Abdi amewasili na kupokewa katika Uwanja wa Ndege wa Pemba kuelekea maadhimisho ya miaka minne ya Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi na uzinduzi wa kampeni ya Kijana na Kijani utakaofanyika Novemba 2, 2024 katika Uwanja wa Gombani.

#miaka4yaMwinyi

#kijananakijani

#TunazimaZoteTunawashaKijani







Comments

Popular posts from this blog

MALYA ACHUKUA FOMU YA UDIWANI VITI MAALUM

MAKAMO WA RAIS SMAUJATA ATIA NIA UBUNGE KIVULE

NLD YAZINDUA KAMPENI "FYEKA CCM", YATOA WITO HUU KWA TAMISEMI