KUMBILAMOTO AWASHUKURU EFM







Meya wa jiji la Dar es Salaam ambae pia Diwani wa Kata ya Vinguguti ameishukuru kituo Cha radio Cha EFM kupitia kipindi cha Raha za Uswahilini na Orex Gas kwa Kutembelea Vingunguti  na kuhamasisha matumizi ya Gesi na kuwasapoti Mama Lishe wetu na wana Michezo tunawashukuru kwa kumsapoti Champion wa Mazingira Duniani Dkt Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Comments

Popular posts from this blog

MALYA ACHUKUA FOMU YA UDIWANI VITI MAALUM

MAKAMO WA RAIS SMAUJATA ATIA NIA UBUNGE KIVULE

NLD YAZINDUA KAMPENI "FYEKA CCM", YATOA WITO HUU KWA TAMISEMI