WANAFUNZI WAWILI WAKAMATWA KWA KOSA KUTOA TAARIFA ZA KUTEKWA



Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam linalaani vikali watu wanaotengeneza matukio ya kutekwa na kutaka kujipatia pesa kwa njia ya udanganyifu.


Aidha, vitendo hivyo vinachukua nafasi kwa watu kufanya matukio ya utekekaji nakutoa taarifa za uongo ambapo jeshi hilo limeahidi kutokuvumilia vitendo hivyo.

Hatua hiyo imekuja mara baada ya kuwakamata wanafunzi wawili wa kike wa shule ya Sekondari miaka (16) na msingi miaka (12) na  kuwachunguza na kubaini walitoa taarifa za uongo za wao kutekwa.

Wanafunzi hao walitoa taarifa ya kutekwa na kutaka kujikwa kosa la kujiteka na kutaka kujipatia pes kwa njia ya udanganyifu huko Vijibweni Kigamboni.

Akitoa taarifa hiyo mbele ya waandishi wa habari jijini Dar es Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam SACP Jumanne Muliro amesema kuwa Januari,  29 jeshi hilo liliwapata na kuwahoji .

SACP Muliro amesema kuwa wanafunzi hao walitoa taarifa za uongo na kujitengezea wametekwa ambapo walidai watekaji wanataka fedha kutoka kwa wazazi wao.

"Januar 26 walitoeka nyumbani kwao na kuelekea Longoni Beach ambapo walilala huko huko na asubuhi walielekea Tungi"

Hata hivyo, kutoka Desimba mwaka 2024 hadi Januari 2025 watuhumiwa wamepelekwa mahakamani baada ya wananchi kupata mwamko wa kuripoti matukio na kutoa ushirikiano kwa jeshi la Polisi.

"Miongoni mwa watuhumiwa waliofikishwa mahakamani na kuhukumiwa ni pamoja na Idrisa Rashid (30) mkazi wa Kwembe Kimara kwa kosa la kubaka nakuhukumiwa miaka 30 jela, Poul Elisha (37) mkazi wa Mbezi Beach alihukumiwa kifungo cha maisha jela, na Jackson Mjeta alihukumiwa miaka 30 

Comments

Popular posts from this blog

MALYA ACHUKUA FOMU YA UDIWANI VITI MAALUM

MAKAMO WA RAIS SMAUJATA ATIA NIA UBUNGE KIVULE

NLD YAZINDUA KAMPENI "FYEKA CCM", YATOA WITO HUU KWA TAMISEMI