AFISA WA MAHAKAMA AJITOSA KUGOMBEA UBUNGE KIVULE

 



Na Mwandishi Wetu.

Afisa wa Mahakama Kanda ya Dar es salaam Weaver Marcell Indah amechukua fomu kugombea Ubunge  Kivule ili aweze kuwatumikia wananchi.

Amechukua fomu hiyo leo Julai 1,2025 katika Ofisi ya Katibu wa CCM Wilaya ya Ilala Chief Sylvester Yaredi.

Aidha amesema kwamba ameamua kutia nia  kugombea nafasi ili kuwaletea maendeleo wananchi wa Kivule.

Comments

Popular posts from this blog

MALYA ACHUKUA FOMU YA UDIWANI VITI MAALUM

MAKAMO WA RAIS SMAUJATA ATIA NIA UBUNGE KIVULE

NLD YAZINDUA KAMPENI "FYEKA CCM", YATOA WITO HUU KWA TAMISEMI