AMIRY ALITAKA JIMBO LA KIVULE
Na Mwandishi Wetu.
Kada wa CCM Amiry Abdallah Mhando amechukua na kurudisha fomu ya kutia nia kugombea Jimbo la Kivule.
Amerudisha fomu hiyo le Julai 1,2025 kwa katibu wa CCM Wilaya ya Ilala Chief Sylvester Yaredi.
Aidha amesema kwamba ameamua kutia hiyo kwa ajili ya kuwatumikia wananchi wa Jimbo hilo kutokana na changamoto mbalimbali za kinaendeleo zinazowakabiki.
Comments
Post a Comment