CHATANDA ATAMBELEA BANDA LA OFISI YA WAZIRI MKUU SABASABA




Mwenyekiti wa Umoja wa Wanawake Taifa (UWT)Ndg. Mary Chatanda leo tarehe 06 Julai,2025 ametembelea Banda Jumuishi ya Ofisi ya Waziri Mkuu lililopo katika Viwanja vya Maonesho ya 49 ya Biashara (SABASABA) yanayoendelea Jijini Dar wa Salaam.

Maonesho hayo yamebebwa na Kauli Mbiu isemayo; Maonesho ya Biashara ya Kimataifa, Fahari ya Tanzania

Comments

Popular posts from this blog

MALYA ACHUKUA FOMU YA UDIWANI VITI MAALUM

MAKAMO WA RAIS SMAUJATA ATIA NIA UBUNGE KIVULE

NLD YAZINDUA KAMPENI "FYEKA CCM", YATOA WITO HUU KWA TAMISEMI