KADA MASELE ARUDISHA FOMU



Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Masunga Masele leo Julai 1,2025 amerudisha fomu ya kutia nia ya kugombea Ubunge Jimbo la Segerea. 

Masele amechukua fomu hiyo Juni ,30,2025 na amerudisha fomu hiyo kwa katibu wa CCm Wilaya ya Ilala Chief Sylvester Yaredi ili kusubira maelekezo kutoka kwenye chama chake cha CCM

Amesema kwamba endapo atapewa ridhaa ya kuongoza Jimbo la Segerea atahakikisha anamsaidia Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kutatua changamoto zinazowakabi wananchi wa Jimbo hilo.

Comments

Popular posts from this blog

MALYA ACHUKUA FOMU YA UDIWANI VITI MAALUM

MAKAMO WA RAIS SMAUJATA ATIA NIA UBUNGE KIVULE

NLD YAZINDUA KAMPENI "FYEKA CCM", YATOA WITO HUU KWA TAMISEMI