KADA WA CCM LAMECK NYAMBAYA ALITAKA JIMBO LA SEGEREA
Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Lameck Nyambaya leo amechukua fomu ya kuomba ridhaa kugombea Jimbo la Segerea.
Amekabidhiwa fomu hiyo leo Julai 1,2025 na Katibu wa CCM Wilaya ya Ilala Sylvester Yaredi.
Aidha, amesema amejipima amejiona anafaa endapo Chama cha Mapinduzi kitampa ridhaa ya kugombea Jimbo hilo.
Comments
Post a Comment