MSAMA ARUDISHA FOMU
Mkurugenzi wa Msama Promotions, Alex Msama leo Julai 1,2025 amerudisha fomu ya kuomba ya ridhaa kwa Chama cha Mapinduzi CCM kumpitisha aweze kugombea Ubunge Jimbo la Ukonga
Awali, Msama alichukua fomu hiyo Juni 29, 2025 katika Ofisi za Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Ilala ambapo alikabidhiwa Fomu hiyo na Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wilaya ya Ilala, Chief Sylvester Yaredi.
Comments
Post a Comment