NEEMA MCHAU ACHUKUA FOMU KUGOMBEA UDIWANI VITI MAALUM
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wanawake uwezeshaji Kiuchumi Kata ya Gongo la Mboto Neema Mchau leo amechukua fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama udiwani viti Maalum.
Amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa Umoja wa Wanawake wa CCM (UWT) Rosemary Mwakisalu leo Julai 1,2025.
Amesema amechukua fomu hiyo ya kuomba ridhaa kwa lengo la kuwasaidia wanawake katika kuunga jitihada za Rais Dkt Samia Suluhu Hassan.
Comments
Post a Comment