PROF KETARO AUTAKA UBUNGE KIVULE



Rev. Prof Stephen Ovio Ketaro leo amerudisha fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Jimbo la Kivule, kupitia Chama cha Mapinduzi CCM.

Prof Katero amerudisha fomu hiyo kwa Katibu wa CCM Wilaya ya Ilala Sylvester Yaredi leo Julai 1, 2025 katika Ofisi za CCM Wilaya ya Ilala.

Amesema kuwa, endapo Chama kitampaa ridhaa ya kugombea katika Jimbo hilo atashirikiana na wananchi kutatua kero zinazowakabili .

Comments

Popular posts from this blog

MALYA ACHUKUA FOMU YA UDIWANI VITI MAALUM

MAKAMO WA RAIS SMAUJATA ATIA NIA UBUNGE KIVULE

NLD YAZINDUA KAMPENI "FYEKA CCM", YATOA WITO HUU KWA TAMISEMI