WAGOMBEA 84 WARUDISHA FOMU , WATATU WAKWAMA WILAYA YA ILALA


Wagombea Ubunge 84 wamerejesha fomu za ubunge Wilaya ya Ilala katika majimbo yote manne Ilala,Segerea,Ukonga na Kivule.

Akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam Katibu wa CCM wilaya ya Ilala Silivester Yared amesema mchakato wa kurudisha fomu na kuchukua fomu dirisha limefungwa saa kumi kamili ambapo katika zioezi hilo wagombea waliochukua fomu jumla 87 na Wagombea waliorejesha 84 .

Katibu wa wilaya Yared amesema katika jimbo la Kivule wamechukua fomu 46 wamerejesha 44,Jimbo la Segerea wamechukua 18,wamerejesha 17,Jimbo la ukonga wamechukua 11 na wamerejesha 11,na Jimbo la Ilala wamechukua 12 na wamerejesha 12.

Comments

Popular posts from this blog

MALYA ACHUKUA FOMU YA UDIWANI VITI MAALUM

MAKAMO WA RAIS SMAUJATA ATIA NIA UBUNGE KIVULE

NLD YAZINDUA KAMPENI "FYEKA CCM", YATOA WITO HUU KWA TAMISEMI