WMA YATOA ELIMU YA VIPIMO KWA WANAFUNZI NANE NANE
Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) imeendelea kutoa elimu ya vipimo kwa wanafunzi waliotembelea Banda la Wakala wa Vipimo (WMA) ikiwa ni siku ya nne ya Maonesho ya Kilimo, maarufu kama Nanenane, Uwanja wa Nzuguni, Dodoma.
Aidha, WMA imepanga kuanzisha vilabu (clubs) vya elimu ya vipimo mashuleni ikiwa ni mkakati wa kupanua wigo wa utoaji elimu ya vipimo kwa jamii.
Comments
Post a Comment