DKT. BITEKO KUHITIMISHA KONGAMANO LA MAKANDARASI NA WATOA HUDUMA SHIRIKISHI TANZANIA

 




Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akiwa ameambatana  na Waziri wa Ujenzi, Mhe. Innocent Bashungwa amewasili katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere Dar es Salaaam (JNICC), kwa ajili ya kufunga Kongamano la Makandarasi na Watoa Huduma Shirikishi Tanzania, leo tarehe 28 Juni 2024.

Dkt. Biteko amemwakilisha Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan katika kongamano hilo la siku mbili lililoandaliwa na Chama cha Umoja wa Makandarasi na Watoa Huduma Shirikishi Tanzania (TUCASA), likiongozwa na Kauli mbiu isemayo; “Mjenga Nchi ni Mwananchi, Makandarasi Wazawa Tunaweza”.

Comments

Popular posts from this blog

TMA YATOA TAHADHARI KUHUSU UWEPO WA KIMBUNGA "HIDAYA"

HUU HAPA MWENENDO WA KIMBUNGA "HIDAYA" , UPEPO KUVUMA KWA KASI YA KILOMITA 130 KWA SAA

NHIF YAFANYA MABORESHO YA KITITA CHA HUDUMA ZA MATIBABU, YAENDELEA KUPOKEA MAONI