WIZARA YA NISHATI YASHIRIKI WIKI YA NISHATI JADIDIFU JIJINI DAR ES SALAAM

 




Wizara ya Nishati imeshiriki Wiki ya Nishati Jadidifu 2025 inayoendelea jijini Dar es Salaam.

Katika picha ni Wadau na Wageni mbalimbali walipotembelea Banda la Wizara na kupata elimu juu ya masuala mbalimbali ikiwemo umeme na Nishati Jadidifu.

 Wiki ya Nishati Jadidifu inafanyika katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Mwalimu Julius Nyerere (JNICC).

"Picha mbalimbali za matukio"

Mkuu wa Sekta ya Nishati kutoka Umoja wa Ulaya (EU),  Maximilliano Pedretti akitembelea mabanda mbalimbali ya maonesho  katika Wiki ya Nishati Jadidifu 2025 inayoendelea jijini Dar es Salaam.

Pamoja naye ni Kamishna wa Umeme na Nishati Jadidifu, Mhandisi Innocent Luoga,pamoja na Mkurugenzi wa Nishati Safi ya Kupikia Bw. Nolasco Mlai kutoka Wizara ya Nishati. 








Comments

Popular posts from this blog

HUU NDIO USHAURI WA TMA KWA SEKTA HIZI ...

NLD YAZINDUA KAMPENI "FYEKA CCM", YATOA WITO HUU KWA TAMISEMI

MAANDALIZI YA MKUTANO MKUU CCM YASHIKA KASI