MJUMBE WA HALMASHAURI KUU KATA YA LIWITI ACHUKUA FOMU YA UDIWANI VITI MAALUM




Mjumbe wa Halmashauri kuu Jumuiya ya Wazazi kata ya Liwiti Segerea Hindu Ally Senyange amechukua fomu ya kugombea Udiwani Viti maalumu Halmashauri ya Ilala. 

Hindu amekabidhiwa fomu hiyo leo Juni 30,2025 na Katibu Umoja wa Wanawake (UWT) Wilaya ya Ilala Rosemary Mwakisalu

Senyange amesema kwamba ameamua kugombea nafasi hiyo ili kuunga mkono jitihada zianazofanywa na Mwenyekiti Taifa wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan katika kuwaletea maendeleo Watanzania.

Comments

Popular posts from this blog

MALYA ACHUKUA FOMU YA UDIWANI VITI MAALUM

MAKAMO WA RAIS SMAUJATA ATIA NIA UBUNGE KIVULE

NLD YAZINDUA KAMPENI "FYEKA CCM", YATOA WITO HUU KWA TAMISEMI