NGOWI AUTAKA UBUNGE KIVULE
Mjasiriamali Agustino Ngowi leo June 29,2025 ametimiza haki yake ya kikatiba amefika katika Ofisi za Chama cha Mapinduzi (CCM) kuchukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Jimbo la Kivule
Amekabidhiwa fomu hiyo Mapema leo hii na Katibu wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala Chief Sylvester Yaredi katika Ofisi za Chama cha Mapinduzi .
Aidha amesema endapo atapewa ridhaa kugombea Jimbo hilo atashirikiana na wananchi katika kutatua kero zinazowakabili ikiwemo miundombinu ya barabara.
Comments
Post a Comment