WAKILI MSOMI MANDESI ACHUKUA FOMU YA UBUNGE SEGEREA
Mkurugenzi wa Mandesi Wakili Msomi Gidioni Mandesi amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Jimbo la Segerea .
Amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala , Chief Sylvester Yared mapema leo hii
Comments
Post a Comment