HII HAPA RATIBA YA UCHUKUAJI WA FOMU , ZOEZI LA KUWAPATA WADHAMINI NLD


Chama Cha National League For Democracy (NLD) kimetangaza ratiba ya uchukuaji wa fomu,pamoja na zoezi la kupata wadhamini katika Makao Makuu ya Ofisi za Tume Huru ya Uchaguzi (INEC).

Kwa Mujibu wa Taarifa iliyotolewa leo Julai 31,2025 Jijini Dar es salaam na Katibu Mkuu wa Chama hicho Doyo Hassan Doyo,imebainisha kuwa zoezi hilo litaanza August,9,Mwaka huu.



Comments

Popular posts from this blog

MALYA ACHUKUA FOMU YA UDIWANI VITI MAALUM

MAKAMO WA RAIS SMAUJATA ATIA NIA UBUNGE KIVULE

NLD YAZINDUA KAMPENI "FYEKA CCM", YATOA WITO HUU KWA TAMISEMI