MWANASHERIA JOHN PETER AUTAKA UBUNGE UKONGA
Mwanasheria John Peter John leo amechukua fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Jimbo Ukonga .
Amekabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa CCM Wilaya ya Ilala Sylvester Yaredi leo Julai 1,2025.
Aidha amesema amejipima ameona anafaa kuwatumia wananchi wa Ukonga endapo Chama kitampa ridhaa ya kugombea.
Thanks
ReplyDelete