RAIS WA SHIRIKISHO LA FILAM TANZANIA ASHIRIKI MKUTANO WA AFRIKA FILMMAKERS
Rais wa Shirikisho la Filamu Tanzania Bw Rajabu Amiry akiwa na marais na viongozi mbalimbali wa mashirikisho na vyama vya “Filmmakers” ktk nchi nane za Africa. Baada ya vikao vya siku tatu Kampala Uganda tumesaini MOU kwa lengo kufungua mlango mwingine masoko ya Filamu (Sream East).
Comments
Post a Comment