KANIKI ACHUKUA FOMU
Picha mbalimbali za matukio wakati Mgombea udiwani Kata ya Zingiziwa Selemani kaniki akielekea kuchukua fomu
Mgombea udiwani wa Chama cha Mapinduzi CCM Kata ya Zingiziwa Wilayani Ilala Selemani Kaniki leo Agosti 18/2025 amechukua fomu ya kugombea Udiwani wa kata ya Zingiziwa ambapo Pichani alisindikizwa na viongozi wa chama wa kata hiyo pamoja na viongozi wa kata
Comments
Post a Comment