Posts

Showing posts from February, 2023

USIKOSE KUFUATILIA MUINDAMO WA MWEZI WA KIISLAM KILA SIKU

Image
 ,*,,*Alhamdulillahi ladhi ahyana baada ma  amatana wailayhi nushuur *Assalam Alaykum Warahmatullah Wabarakaatuh*  Leo ni *Mwezi * *8* **SHAABAN** (mwezi wa Nane wa Kiislam)  Mwaka wa *1444* *Hijria*  Sawa na Siku ya Jumanne ya *tarehe* 01/03/*2023*       Tumuombe ALLAH  atujaaliye Afya njema, mwisho uliokuwa mwema, atusamehe madhambi yetu, sisi na Wazazi wetu  waliohai na waliotangulia mbele ya haki.                                               **أمين يارب  العالمين**

PITIA HABARI ZA MAGAZETI MBALIMBALI LEO MARCH 1,2023

Image
 

USIKOSE KUFUATILIA UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO , FEB 28,2023

Image
 

TANZANIA NA BANKI YA DUNIA ZASAINI MKOPO NAFUU WA KUBORESHA HUDUMA ZA AFYA.

Image
  Na WAF- DSM Serikali ya Tanzania na Banki kuu ya Dunia zimesaini mkopo nafuu utaosaidia kuboresha huduma za afya kwa wananchi wa Tanzania ikiwemo kupunguza vifo vya mama na mtoto, kuboresha huduma za dharura, kuboresha rasilimali watu katika Sekta ya afya, kuboresha utendaji na ufanisi kwenye ngazi ya zahanati. Hafla hiyo fupi imeongozwa na Waziri wa fedha na mipango nchini Tanzania Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba na kuhudhuriwa na Naibu Waziri wa Afya bara Dkt. Godwin Mollel aliyemwakilisha Waziri wa Afya pamoja na mwakilishi kutoka Serikali ya Zanzibar Mhe. Amur Mohamed na viongozi wengine kutoka Wizara ya fedha, Maji na Wizara ya Afya.  Dkt. Mwigulu amesema, mpango huu nafuu, ni mwendelezo wa miradi iliyopita ya kuboresha huduma za afya kwa wananchi ikiwemo kuboresha afya ya mama na mtoto hususan huduma katika ngazi ya zahanati ambapo idadi kubwa ya wananchi huenda kupata huduma. Nae, Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel amesema, Wizara ya afya kwa kushirikiana na OR TAMISEMI

HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO

Image
 

USIKOSE KUFUATILIA UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO

Image
 

PITIA VICHWA VYA HABARI KATIKA MAGAZETI YA LEO FEB 25,2023

Image
 

SELEMANI KIDUNDA AACHA SINTOFAHAMU KUTOFIKA KUPIMA UZITO PAMBANO LA KESHO

Image
Na Magrethy Katengu,HPMedia, Dar  Bondia Selemani Kidunda ameacha sitofahamu kwa Mpinzani wake Raia wa (DRC)Patric Mukala baada ya kutojitokeza kupima uzito ikiwa ni maandalizi ya  siku moja ya Pambano la ngumi za kulipwa linalotarajiwa kufanyika Februari 24 2023 kuanzia saa mbili usiku. Akizungumza mara baada ya kupima uzito Mabondia wengine Mkurugenzi wa Kampuni Kemmon Agency ambaye pia ni  Promota wa Pambano hilo Sada Salim amesema  amesikitishwa sana na kitendo alichofanya Selemani Kidunda kwani walishasainiana Mkataba hivyo Pambano lipo palepale na asipotokea atatakiwa kulipa fedha alizopewa na fidia kutokana na kukiuka Mkataba wa makubaliano yao. Sitofahamu hii imekuja baada mzani wa Kidunda kupanda jukwaani na kupima uzito lakini baada ya mshereheshaji wa zoezi hilo kupitia siyo yeye wala wapambe wake hali iliyomlazimu kwa muda Mpinzani kupima uzito mwenyewe na kutofanya (Face off) mpaka anaondoka uwanjani Kidunda hakutokea "Selemani Kidunda acha Woga njoo uwanjani uonyeshe

UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO LEO FEB 23,2023

Image
usikose kufuatilia utabiri wa hali ya hewa kuanzia leo  

DC MPOGOLO AWATAKA WATENDAJI WASIWE KIKWAZO KWA SERIKALI

Image
Na Mwandishi wetu, HPMedia, Dar  Mkuu wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo, amewataka watendaji wa wilaya ya Ilala kuwa karibu na Viongozi wa chama na Serikali huku akiwasisistiza wasiwe sehemu ya vikwazo katika kuleta maendeleo . Wito huo ameutoa alipokua katika ziara ya kujitambulisha kwa watendaji na viongozi wa chama Tarafa ya Ilala jijini Dar es Salaam ambapo amesema dhumuni la ziara hiyo kujitambulisha ,kujenga Mahusiano pamoja na kutatua kero mbalimbali zilizopo Wilayani humo . "Naomba Watendaji wa Tarafa ya Ilala mshirikiane na chama na Serikali katika kujenga mahusiano pamoja na wananchi msiwe sehemu ya vikwazo ndani ya Wilaya Ilala  " alisema Mpogolo . Aidha, amewataka Watendaji kushikamana na Serikali kutumikia wananchi katika utekekezaji wa Ilani katika kuunga mkono Juhudi za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kusimamia miradi ya Maendeleo ikiwemo ya sekta ya afya na sekta ya Elimu . Hata hivyo, amewataka watendaji hao endapo kutatokea mtu am

PITIA VICHWA VYA HABARI ZA MAGAZETI MBALIMBALI LEO FEB 23, 2023

Image