USIKOSE KUFUATILIA MUINDAMO WA MWEZI WA KIISLAM KILA SIKU

 ,*,,*Alhamdulillahi ladhi ahyana baada ma  amatana wailayhi nushuur

*Assalam Alaykum Warahmatullah Wabarakaatuh* 

Leo ni *Mwezi * *8* **SHAABAN** (mwezi wa Nane wa Kiislam)  Mwaka wa *1444* *Hijria* 

Sawa na Siku ya Jumanne ya *tarehe* 01/03/*2023*      

Tumuombe ALLAH  atujaaliye Afya njema, mwisho uliokuwa mwema, atusamehe madhambi yetu, sisi na Wazazi wetu  waliohai na waliotangulia mbele ya haki.                     

                         **أمين يارب  العالمين**


Comments

Popular posts from this blog

MALYA ACHUKUA FOMU YA UDIWANI VITI MAALUM

MAKAMO WA RAIS SMAUJATA ATIA NIA UBUNGE KIVULE

MWINJUMA AUTAKA UBUNGE KIVULE