Posts

Showing posts from March, 2024

Open Up the New Era of Solar; Making the Most of Every Ray

Image
                     -  Huawei FusionSolar Tanzania Partner Summit 2024 -                            [Dar es Salaam, Tanzania, 27 March, 2024] For the first time, Huawei Digital Power held a FusionSolar Partner Summit in Dar es Salaam, Tanzania. The Summit themed, ‘Lighting Up a Greener Africa’, was aimed at bringing together Huawei Digital Power channel partners to release its latest sustainable energy solutions in the industry. Mr. Xia Hesheng, President of Huawei Digital Power Sub-Saharan Africa Region, spoke about how carbon neutrality and intelligence will lead humanity into an era of ecological civilization. “With the continuous improvement of photovoltaic generation efficiency and lower prices,” he said, “the era of ‘PV+ Storage parity’ is coming, and PV + energy storage will become the most economical and universal form of power. President of Huawei Digital Power Sub-Saharan Africa Region, Xia Hesheng speaks at the summit Huawei is the leading industry supplier that can provide

DC ILALA AIPONGEZA ACB KWA KUFUTURISHA WATEJA, WAFANYAKAZI NA WADAU WA MBALI MBALI.

Image
  Na Mwandishibwetu Mkuu wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo ameipongeza  Akiba Commercial Benk (ACB) kwa kuandaa hafla ya kufuturisha wateja, wafanyakazi na wadau mbalimbali wa Benki hiyo.  Aidha hafla hiyo iliyofanyika Jijini Dar es Salaam katika hoteli ya Serena tarehe 25 Machi, 2024, akiongea katika hafla hiyo ambapo Mkuu wa Wilaya hiyo  ndiye aliyekuwa Mgeni rasmi,huku akiipongeza benki kwa jambo hilo. Mpogolo amesema kwamba “kitendo cha kufuturisha kilichofanywa na ACB  ni ibada  ambayo mwanadamu  aliyetunukiwa zaidi anatoa kwa wengine na atapata thawabu kwa kufanya hivyo”. Aidha, ameipongeza ACB kwa kuwa sehemu ya ukuwaji wa uchumi wa Tanzania na kuahidi kuwa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itaendelea kuwa karibu na taasisi za fedha hususan benki ya Akiba katika kuinua uchumi wa nchi na kuleta maendeleo katika jamii.

AKIBA BENKI YAFUTURUSHA WATEJA WAKE, YAJIPANGA KUBORESHA HUDUMA

Image
  Na Mwandishi wetu, Mkurugenzi wa Akiba Commercial Benk (ACB) Silvest Arumasi amesema kuwa ACB inaendelea kuboresha na kupanua wigo wa huduma zake ili kuendana na soko kwa lengo ya kukidhi matarajio ya wateja. Aidha, amewaomba wateja wao na umma kwa ujumla kuendelea kuiamini Benki hiyo ambayo imeweza kuwahudumia watanzania wengi na kuleta maendeleo makubwa kwa wajasiriamali na Jamii nzima kwa ujumla.  Kauli hiyo ameitoa jijini Dar es Salaam wakati akihutubia wateja na wanachama wake katika hafla maalum ya kufuturisha kwa lengo la kuwa nao zaidi katika kuwapa huduma zilizobora. Hafla hiyo iliyofanyika tarehe 25 Machi, 2024 katika Hoteli ya Serena Jijini Dar es salaam,Mkurugenzi Mtendaji wa ACB  Silvest Arumasi alitumia fursa hiyo kuwapongeza Waislamu wote kwa mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhan, na amewashukuru wadau wote kwa kutenga muda wao na kujumuika pamoja katika Futari hiyo kwani kwa kitendo hicho kimeleta faraja na heshima kubwa kwa Benki. Aidha, amesema kuwa, ACB imekuwa na ut

ZARI AONGEZA MKATABA DOWEI CARE TECHNOLOGY

Image
  Na Mwandisi wetu, Habari Plus  Kampuni ya Dowei Care Technology ambao ni wazalishaji wa Taulo za kike na za watoto (SOFTCARE) kesho wanatarajia kutoa msaada wa bidhaa zao katika hospital ya Taifa ya Muhimbuli katika kitengo cha huduma za mama mtoto lengo likiwa kuendelea kumsaidia mwanamke kujisitiri pindi anapokuwa kwenye siku zake za hedhi. Akizungumza leo Machi 21,2024 jijini Dar es Salaam na waandishi wa habari wakati wakisaini mkataba mpya na balozi wa bidhaa hizo ambae ni mfanyabiashara maarufu Zarina Hassan (Zari the boss lady),  Mkurugenzi mtendaji wa kampuni hiyo Victor Zhang amesema wamekuwa wakipata matokeo chanya na yenye tija kutokana na uwepo wa boalozi huyu. Amesema kuwa, kampuni yao wamekuwa wakirudisha faida kwa jamii kwa kushiriki kampeni nyingi za kitaifa ikiwa ni pamoja na ugawaji wa taluo za kike kwa mabint wa shule za msingi na Sekondari. "Tumekuwa tukipata matokeo chanya kwa kumtumia huyu balozi wetu lakini pia kutokana na mtokeo hayo tumekuwa na utaratibu

TBPL NA KAMPUNI YA JJ YASAIN MKATABA WA USAMBAZAJI VIUATILIFU

Image
  Na Mwandishi wetu Serikali kupitia kiwanda cha Biotech Product Limited (TBPL) kilichopo Kibaha Pwani kimetiliana saini imkataba wa miaka 3 na kampuni ya JJ Agricultural ltd ya kusambaza  dawa mpya viuatilifu hai ambazo zitatumika kupambana na wadudu dhurifu wa mazao mbalimbali ya kilimo. Aidha, miongoni mwa mazao hayo ni pamoja na Pamba, Mahindi, Matunda  na Mbogamboga hali itakayosaidia kupatikana kwa dawa hizo katika maeneo mbalimbali hapa nchini. Akizungumza mara baada ya kukamilika kwa zoezi la kutiliana saini mkataba huo Meneja Mkuu wa kiwanda hicho, Rafael Rodriquez ameonyeshwa kufurahishwa na makubaliano waliyofikia na kampuni ya JJ Agricultural Limited ambapo amebainisha kuwa hatua hiyo ni mafanikio makubwa katika kuhakikisha kuwa wananchi wanapata fursa ya kufikiwa na bidhaa hiyo katika maeneo mbalimbali nchini. "Tunatambua changamoto inayowakabili wakulima ya uwepo wa wadudu dhurifu katika mazao yao makabaliano haya yanakwenda kuwasaidia wakulima katika kupatikana kwa

SUKA KURAHISISHA USAFIRI

Image
Na Mwandishi wetu, Habari Plus, Dar Kampuni ya Teksol Limited iliyoko Jijini Dar es salaam imezindua Suka App maalum kwa ajili ya kurahisisha usafiri wa abiria ambayo itatoa huduma ya kipekee kutokana na mfumo huo namna ulivyotengenezwa na ulivyo rafiki kwa abiria.  Akizungumza jijini Dar es Salaam Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Mkoa huo SACP Jumanne Murilo, wakati akimuwakilisha IGP Kamilius Wambura amesema kuwa kumekua na madereva wengi kuvunja sheria za barabarani hivyo haitasita kuwachukulia hatua za kisheria  Aidha, amewata madereva wa Kampuni hiyo  kuwa waadilifu pindi wanapokuwa wakitekeleza majukumu yao. Kamanda Murilo amesema kwa kupitia Kampuni zilizopita zinazofanana na Suka App ikiwemo Uba na Bolt miongoni mwa vitu ambavyo vilikuwa vikilalamikiwa na wateja katika uendeshaji wa Kampuni hizo ni tabia za utendaji wa kazi ikiwemo lugha,mavazi, na heshima ambavyo ni miongoni mwa vitu vilivyojenga au kushusha heshima ya kampuni hizo. "Katika kutekeleza ajira yenu ipo haja

USIKOSE KUFUATILIA UTABIRI WA HALI YA HEWA KWA SAA 24 ZIJAZO, LEO MARCH 15,2024

Image
 

WEMA APATA UBALOZI HELA BET

Image
Na Fatma Ally, Habari Plus, Dar  Kampuni ya michezo ya kubashiri Hela Bet imempa ubalozi Msanii wa filamu nchini Wema Isack Sepetu ili aweze kuungaza mchezo huo kupitia kampuni hiyo.  Aidha kampuni hiyo inaendesha mchezo huo wa kubashiri mtandaoni. Akizungumza mapema leo  Machi,15 2024,Wema amesema kuwa amefurahi kuwa mwanafamilia mpya kutoka kwenye namba moja ya kampuni ya kubashiri ya michezo. “Mimi huwaga sifanyi  na kampuni ambayo haiko vizuri lakini kwa kuona hii kampuni ya hela bet inafanya vizuri kwa upande wa michezo mtandaoni nikaona nishirikiane nao ili tuweze kufanya kazi. "Nina waahidi kufanya kazi bega kwa bega kwa kampuni hii ili kuhakikisha inamfikia kila Mtanzania na pia mimi  nitaanza kubashiri na kwa upande wa timu mimi ni shabiki wa Yanga,"amesema Wema. Aidha amesema atahakikisha kampuni hiyo inatambulika kila sehemu. Muwakilishi wa  Hela Bet Jacob Mbuya amesema  kampuni hiyo imekuja kuongeza ushindani juu ya sekta ya Michezo yakubatisha nchini.

PURA NA DMI KUSHIRIKIANA UCHIMBAJI WA MAFUTA NA GESI BAHARINI

Image
  Na Mwandishi wetu, Habari Plus, Dar Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petrol (PURA) wamewekeana hati ya Saini ya ushirikiano na Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) katika kupata wataalamu wakufunzi watakaosaidia usalama katika shughuli za uchimbaji Mafuta na gesi baharini kupitia Mradi wa NLG. Akizungumza na waandishi wa habari Mkurugenzi jijini Dar es Salaam Mtendaji PURA, Charles Sangweni amebainisha kuwa hadi kufikia Februari 2024 idadi ya mikataba iliyosainiwa imefikia 11 ambapo kati ya mikataba hiyo 8 ipo katika hatua za utafutaji na 3 ipo katika hatua za uzalishaji. "Hatua za utafutaji wa mafuta na gesi asilia nchini zilipelekea kufanyika kwa ugunduzi wa gesi asilia kwa mara ya kwanza katika kitalu cha Songosongo mwaka 1974 na kitalu cha Mnazibey1982 ambapo gunduzi hizo ilifanyika katika maeneo ya nchi kavu na maeneo ya kina kifupi cha bahari pia ugunduzi mwingine umefanyika katika maeneo ikiwemo Mkuranga,Mtwara,Ruvu na katika maeneo ya kina kirefu cha Bahari Hindi Kusi

KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YARIDHISHWA NA MABORESHO KIWANDA CHA KUTENGENEZA MASHINE NA VIPURI CHA KMTC-MOSHI

Image
  Na Mwandishi Wetu. Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Viwanda, Biashara, Kilimo, Mifugo na Uvuvi imelipongeza shirika la Taifa la Maendeleo( NDC) kwa kuboresha Kiwanda cha KMTC na kuendelea na uzalishaji wa Vipuri pamoja na Mashine mbalimbali kama ilivyokusudiwa wakati wa uanzishaji wake. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa kwa vyombo vya habari kupitia kitengo Cha Mawasiliano na Masoko NDC,Machi 13 ,2024 ,pongezi hizo zimetolewa na Mwenyekiti wa kamati hiyo ambaye pia ni Mbunge wa Njombe Mjini Deo Mwanyika mara baada ya kamati hiyo ya kudumu ya bunge kutembelea kiwandani hapo na kukagua shughuli mbalimbali zinazofanyika katika kiwanda hicho kilichopo wilayani Hai mkoani Kilimanjaro. Aidha Mwanyika amesema kuwa KMTC ni kiwanda kikubwa cha kuzalisha viwanda vingine na kina mchango mkubwa kwenye uchumi huku akibainisha kuwa malighafi kubwa ya kiwanda hicho ni chuma kinachotumika kutengeneza vipuri na mashine na kama Taifa tukitaka kufikia malengo lazima tuanze Uchimbaji wa chuma cha Liganga. &

SERIKALI YASITISHA UMEZESHAJI WA KINGA TIBA

Image
  Na Mwandishi wetu, Habari Plus, Dar Serikali kupitia Wizara ya Afya imesitisha kampeni za umezeshaji wa kingatiba ya ugonjwa wa Matende na Mabusha katika maeneo ya Mkoa wa Dar es Salaam kutokana na kufanikiwa kuthibiti magonjwa hayo. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Waziri wa Afya Ummy Mwalimu ambapo amesema maeneo waliositisha ni pamoja na Halmashauri ya Manispaa ya Kigamboni, Ubungo, Temeke na Halmashauri ya Jiji la Dar Es Salaam pamoja na kata 10 za Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni baada ya kujiridhisha kutokuwa na maambukizi mapya ya ugonjwa wa Mabusha na Matende katika maeneo hayo. Aidha amesema kuwa Serikali kwa kushirikiana na wadau hadi sasa imeweza kudhibiti Ugonjwa wa Matende na Mabusha (ngirimaji) katika Halmashauri 112 kati ya 119 na kubakiwa na Halmashauri saba nchi nzima. "Ugonjwa wa Matende na Mabusha (ngirimaji) ni miongoni mwa changamoto kubwa za kiafya zinazoathiri wananchi katika maeneo hatarishi dhidi ya ugonjwa huu nchini, hapo awali maambukizi

TEHAMA KUFADHILI WANAWAKE 100 KONGAMANO LA USALAMA MTANDAO

Image
  Na Mwandishi wetu, Habari Plus, Dar Tume ya Habari na Mawasiliano nchini (TEHAMA), imeendaa jukwaa la tatu la usalama wa mitandao ya kielekitroniki la mwaka 2024 litakalofanyika kuanzia April 4 hadi 5 mwaka huu jijini Arusha ambapo pamoja na mambo mengine litawafadhili kwenda kwenye kongano hilo wanawake 100 ambao wanaujuzi kuhusiana na masuala ya Tehama. Akizungumza na wanahabari  jijini Dar es Salaam Mkurugenzi wa Tume hiyo, Dkt Nkundwe  Mwasaga amesema kongamano hilo litashirikisha jumla ya washiriki na wadau mbalimbali zaidi ya 300 kutoka ndani na nje ya nchi ambapo ajenda kuu tano andani ya mkutano huo zitajadiliwa ikiwemo mkakati wa uchumibwa kiditali na huduma za mawasiliano kuwa jumuishi. Nkundwe amesema wao kama nchi wenyeji wameamua kutoa ufadhili kwa washiriki wanawake 100 watakaolipiwa gharama zote za ushiriki wa kongamano hilo ili kuwapa motisha kushiriki kwenye masuala ya usalama wa kimtandao kwani lengo la Tume hiyo ni kuhakikisha kila mtu anakuwa na uwelewa kuhusu usa

KAMATI YA BUNGE YAKAGUA UJENZI WA JENGO LA WIZARA YA NISHATI MTUMBA

Image
 Yapongeza Wizara kushirikisha Taasisi za Umma kwenye ujenzi Yataka mkandarasi kuongeza kasi ya ujenzi  Ujenzi wafikia asilimia 75 Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeipongeza Wizara ya Nishati kwa kushirikisha Taasisi  za Umma katika utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa jengo la Wizara katika Mji wa Serikali-Mtumba na hivyo kuziimarisha Taasisi hizo katika utoaji wa huduma. Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, Mhe. Kilumbe Ng’enda ametoa pongezi hizo wakati Wajumbe wa Kamati hiyo walipokagua ujenzi wa Jengo la Wizara ya Nishati katika Mji wa Serikali, Mtumba jijini Dodoma tarehe 12 Machi, 2024. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto  Biteko, Naibu wake, Mhe. Judith Kapinga, Katibu Mkuu wa Wizara ya Nishati, Mhandisi Felchesmi Mramba pamoja na Menejimenti ya Wizara ya Nishati walishiriki katika ukaguzi wa jengo hilo. “Baada ya kufika hapa tumeona kuwa mkandarasi wa mradi huu ni Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)  na Mshauri Eleke

MAMA ONGEA NA MWANAO KUFANYA TAMASHA KUBWA, MIAKA 3 YA RAIS SAMIA NEEMA TUPU

Image
Na Mwandishi wetu, HabarPlus, Dar TASISI ya Mama Ongea na Mwanao inatarajia kufanya Tamasha kubwa la walemavu ambalo limelenga kuwasilikiza changamoto zao na kuwapatia mahitaji yao muhimu ikiwa ni mwendelezo wa kampeni hiyo kuunga mkono jitihada za Rais Dkt Samia Suluh Hassan. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Mwenyekiti wa Taadisi hiyo, Steven Nyerere amesema kuwa tamasha hilo litafanyika nchi nzima ambapo wataungana na watu wa makundi mbalimbali ikiwemo vijana, mabodaboda, wajasiri amali ambapo kauli mbiu yake "Mtonye Mwenzako Mama Tena". Amesema kuwa, moja ya mikakati ya taasisi hiyo ni kuunga mkono jitihada zinazofanywa na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan ambapo wamekua wakisaidia watu wenye mahitaji maalum ikiwemo kugawa viatu kwa wanafunzi mashuleni. "Katika miaka mitatu ya Rais Dkt Samia amefanya kazi kwa vitendo katika kuwahudumia wananchi ikiwemo umeme, sisi kama Taasisi tunawaahidi tutaendelea kuwashika mkondo nyinyi ni wapiga kura nchi hii, n

WAZEE WA NGOME ACT WAPEWA NASAHA HIZI, SHEIKH PONDA YUMO

Image
  Na Mwandishi wetu, HabariPlus, Dar NGOME ya Wazee wa Chama cha ACT Wazalendo imetakiwa kuwa mstari wa mbele katika kuhamasisha umoja na mshikamano ndani ya chama na jamii kwa ujumla ikiwemo kuwa na sauti ya pamoja katika kutetea maslahi mapana ya Taifa. Rai hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salam na Mjumbe wa bodi ya wadhamini wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Prof Azaveri Lwaitama wakati akifungua mkutano mkuu wa pili wa Chama hicho ambao umeenda sambamba na kuchagua viongozi wa nafasi mbalimbali katika ngome hiyo. Amesema kuwa, ni vyema wajumbe wa mkutano huo kuchagua viongozi ambao wanauwezo wa kuongoza na kuacha tabia ya kuchagua viongozi kwa mfumo kwani matokeo yake wanakosekana viongozi bora wanaoweza kuongoza katika misingi inayotakiwa kwa busara na hekima . "Mukitaka kufika mbali lazima muwe na sauti ya pamoja hata kama munatofautiana kwa itikadi ya vyama vyenu lakini linapokuja suala la kutetea maslahi ya nchi lazima mushikamane, hamuwezi kuondoa chama kilic