AMOS MAKALLA AHAMISHIWA MWANZA

 Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Samia Suluhu Hassan amefanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa ambapo aliyekuwa Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Amos Makalla amehamishiwa mkoa wa Mwanza


Comments

Popular posts from this blog

MALYA ACHUKUA FOMU YA UDIWANI VITI MAALUM

MAKAMO WA RAIS SMAUJATA ATIA NIA UBUNGE KIVULE

NLD YAZINDUA KAMPENI "FYEKA CCM", YATOA WITO HUU KWA TAMISEMI