TPA YAPOKEA TUZO YA UTOAJI BORA WA TAARIFA ZA KIFEDHA

 


Na mwandishi wetu, Dar

Mkurugenzi wa Fedha na Uhasibu wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), CPA Miraji Kipande akipokea tuzo kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu kutoka kwa Mhe. Jamal Kassim Ali, Waziri wa nchi Afisi ya Rais Ikulu Zanzibar mara baada ya TPA kutangazwa mshindi wa 2 katika kitengo cha wakala wa serikali kwa utoaji bora wa taarifa za fedha.

Tuzo hiyo ilitolewa na Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA) katika hafla ya chakula cha jioni iliyofanyika jijini Da es Salaam.

Comments

Popular posts from this blog

TMA YATOA TAHADHARI KUHUSU UWEPO WA KIMBUNGA "HIDAYA"

HUU HAPA MWENENDO WA KIMBUNGA "HIDAYA" , UPEPO KUVUMA KWA KASI YA KILOMITA 130 KWA SAA

NHIF YAFANYA MABORESHO YA KITITA CHA HUDUMA ZA MATIBABU, YAENDELEA KUPOKEA MAONI