WAZIRI MASAUNI AUNGANA NA UJUMBE WA WAZIRI MKUU MAJALIWA NCHINI JAPAN










Waziri wa nchi Ofisi ya Makamu wa Rais ( Rais Muungano na Mazingira) Mhe. Mhandisi Hamad Masauni ameungana na ujumbe wa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa uliopo nchini Japan Kushiriki maonesho ya Dunia ya EXPO 2025 Osaka Japan

ambapo leo Mei 25,2025 ni Siku ya Taifa la Tanzania(Tanzania National Day)

Comments

Popular posts from this blog

MALYA ACHUKUA FOMU YA UDIWANI VITI MAALUM

MAKAMO WA RAIS SMAUJATA ATIA NIA UBUNGE KIVULE

NLD YAZINDUA KAMPENI "FYEKA CCM", YATOA WITO HUU KWA TAMISEMI