MASELE MASUNGA ATIA NIA UBUNGE SEGEREA




Kada wa Chama Cha Mapinduzi Masele Masunga amechukua fomu kugombea nafasi ya Ubunge Jimbo la Segerea. 

Masunga amekabidhiwa fomu hiyo Juni 30,2025 na Katibu CCM Wilaya ya Ilala Sylvester Yared. 

Amesema kuwa amepata msukumo kutoka kwa Wananchi wa Jimbo hilo kumtaka agombea kwa madai kuwa bado kuna mambo yanatakiwa kuongezewa nguvu ili kuwaletea maendeleo wananchi.

Ameongeza kuwa kuna matatizo mbalimbali yanayoilikabili Jimbo hilo ikiwemo ukosefu wa ajira kwa Vijana,pamoja na miundombinu ya Barabara.

Comments

Popular posts from this blog

MALYA ACHUKUA FOMU YA UDIWANI VITI MAALUM

MAKAMO WA RAIS SMAUJATA ATIA NIA UBUNGE KIVULE

NLD YAZINDUA KAMPENI "FYEKA CCM", YATOA WITO HUU KWA TAMISEMI