MFAMASIA RAGI ACHUKUA FOMU YA UBUNGE UKONGA


Kada wa Chama cha Mapinduzi CCM ambaye amewahi kuwa Rais wa Wanafunzi Chuo kikuu Cha kimataifa Cha Kampala nchini Tanzania mwaka 2018/20 Mfamasia Ragi Samweli amechukua fomu kugombea Jimbo la Ukonga.

Kada huyo amekabidhiwa fomu hiyo leo June 30,2025 na Katibu wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Ilala Sylvester Yaredi katika Ofisi ya CCM wilaya ya Ilala.


Comments

Popular posts from this blog

MALYA ACHUKUA FOMU YA UDIWANI VITI MAALUM

MAKAMO WA RAIS SMAUJATA ATIA NIA UBUNGE KIVULE

NLD YAZINDUA KAMPENI "FYEKA CCM", YATOA WITO HUU KWA TAMISEMI