RAIS WA SHIRIKISHO LA FILAM TANZANIA ALITAKA JIMBO LA SEGEREA
Rais wa Shirikisho la Filam Tanzania Rajab Amiry leo June 30,2025 amerudisha fomu ya kuomba ridhaa ya kugombea Ubunge Jimbo la Segerea .
Rajab Amiry amekabidhiwa fomu hiyo June 28 na Katibu wa CCM Wilaya ya Ilala Sylvester Yaredi katika Ofisi za Chama Wilaya ya Ilala.
Aidha amesema amejitathimni ameona ana sifa ya kugombea nafasi hiyo, kwani Chama hicho kimetoa fursa kwa kila mwanachama kugombea nafasi mbalimbali za uongozi.
Comments
Post a Comment